Momoa

Endeshabiashara yako ya uwakala kidigitali。
Swahilies

下載 Momoa APK

評分 4
類型 生產應用
應用程式檔名稱 com.momoa.app
下載數 5+

Momoa 簡介

Momoa ni 應用程序inayomuwezesha wakala kutunza taarifa za miamala yake。 Badala ya kurekodi miamala kwenye karatasi au kutorekodi, sasa wakala ataweza kutunza taarifa hizo kwenye simu。

Kupitia app ya Momoa:
💰 Wakala anaweza kurekodi miamala ya kuweka pesa (Ambapo anakua kapokea cash)
💰 Wakala anaweza kurekodi miamala ya kutoa pesa (ambapo wakala ametoa cash na kumpatia mteja)
💸 Wakala anaweza kurekodi muamala kama ni deni (madeni ni pale mteja hajachukua hela yake au wakala hajapewa hela yake na mteja)
👦🏼 Wakala anaweza kurekodi muamala kwa kumuainisha mteja kwa jina au namba ya simu
🚨 Wakala atakua anaweza kuthibitisha hesabu zake wakati anavoanza siku na wakati anapofunga kwa urahisi, na kuweza kuona kama hesabu zimebalance au laa。
⏮ Wakala anaweza kuangalia historia au ripoti ya nyuma ya miamala yote, hesabu alivoanza na alivofunga siku。
✍️ Wakala anaweza kuedit float au Cash。 Hii ni kusaidia kama karushiwa float na wakala mwenzake au kafanya muamala kwa njia ya bank。
∞ Wakala anaweza kuongeza mtandao au bank kwa kadri ya awezavyo, na atatakiwa kujaza float iliyopo katika kila mtandao。

💙 Tunawapenda mawakala na tuna matumaini Momoa itawasaidia kuzikuza biashara zao na kufanya usimamiaji uwe mwepesi, rahisi na haraka。

👋卡里布莫瑪。 Kama unakitu unatamani tuboreshe au kuongeza tunaomba uwasiliane na sisi kupitia namba +255 682 411 725(電話或whatsapp)

展開
下載Android版本APK
目前暫不提供Momoa的APK檔下載,請前往GooglePlay下載。
Google Play
從 Google Play 獲取。
1. 點擊「從 Play Store 獲取」
2. 從 Play Store 下載 Momoa
3. 啟動並享受 Momoa

Momoa APK FAQ

Momoa 對我的電腦設備來說安全嗎?

展開
是的,Momoa 遵循 Google Play 的內容指南,確保您在您的 Android 設備上安全使用。

什麼是XAPK檔案?如果我下載的Momoa是XAPK檔案怎麼辦?

展開
XAPK是一種檔案擴充格式,單獨的APK檔案和OBB cache assets檔案。 XAPK檔案可以簡單透過手機上的預設安裝器直接下載安裝到Android裝置。 XAPK檔案可以幫助你在手機或平板下載或傳輸大型應用程式時節省很大的資料容量。XAPK檔案甚至可以讓你毫無障礙地下載和安裝受區域限制的應用程式。 XAPK檔案不像APK檔案可以簡單透過手機上的預設安裝器直接下載安裝到Android裝置。APKPure XAPK 安裝器可以透過最方便的方式幫你一鍵安裝和管理Android裝置上的APK和XAPK檔案。 具體安裝教學可以透過以下連接查看:https://apkcombo.com/tw/how-to-install/ 而在電腦上只需拖拽XAPK檔案至雷電模擬器中即可。

我可以在電腦上玩Momoa嗎?

展開
是的,你可以透過在電腦上安裝雷電Android模擬器,然後將你下載好的 APK 檔案拖入運行的模擬器內,即可開始在電腦上玩Momoa。您也可以打開模擬器,搜尋你想要玩的遊戲或應用程式進行安裝。

推薦搜尋